Samaki Samaki
  • BSS YATANGAZA ZAWADI YA MIL.50

    Mkurugenzi wa BSS, Rita Paulsen almaarufu Madam Rita ametangaza zawadi ya zaidi ya tsh milioni 50 kwa mshindi wa BSS 2018. Amesema zawadi hiyo haitatolewa yote kwa mshindi kama zamani illi kuhakikisha pesa hiyo inakwenda kumsaidia katika kipaji chache cha muziki. Kati ya pesa hiyo tsh milioni 20 itatolewa na BOOM Player kwa mshindi wa kwanza ambapo siku anatangazwa atapewa ...
  • VIDEO: ‘IREN UWOYA ATUMIE MUDA MWINGI KUONGEA NA SERIKALI’ WASTARA

    Msanii wa filamu Nchini amemtaka msanii wa filamu Iren Uwoya kutumia jina lake kwa kuongea na Serikali hasa katika upande wa kuinua tasnia ya filamu nchini ambayo kwasasa inaonekana soko hilo limeshuka kwa kiasi flani. Wastara amezungumza hayo leo katika hafla ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa msanii Iren Uwoya ambayo imefanyika katika viwanja vya Leders jijini Dar es Salaam ...
  • AMNYONGA MPENZI WAKE NA TAI KISHA KUJIUA

    Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian  (36) na Regina Temu (29) wamefariki katika mtaa wa Mafumbo, manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya mwanaume kumuua mpenzi wake kisha yeye mwenyewe kujinyonga, kisa usaliti wa mapenzi. Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba mauaji hayo yamegundulika Desemba 17 saa ...

Latest Stories

Load More