ASSAs

Siri imefichuka Zitto Kabwe mambo hadharani, ACT hakutoshi.

6123
0
Share:

Wanachama wa ACT wazalendo wameamua kurejesha kadi za uwanachama na kuhamia CCM kwa madai ya kutokumuelewa kiongozi wao ZITTO kabwe wakidae amekuwa akiihujumu nchi.

Wanachama hao wamefika mbali na kudai kuwa zipo tetesi mkoa Kigoma kuwa Zitto Kabwe amekuwa akijihusisha na kuwasadia Jeshi la waasi la M23 kutoka Congo.

(Visited 1,631 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us