Zahera amtimua Benno mazoezini,amwambia asirudi tena Yanga.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amemfukuza mlinda mlango Benno Kakolanya na kushindwa kufanyanae kazi tena kwakua sio mzalendo kwenye timu
Zahera ameyasema hayo jana wakati Beno akirejea kambini kwa mara ya kwanza tangu alipotoka kwenye kambi ya timu ya Taifa
(Visited 1,098 times, 1 visits today)