ASSAs

VIDEO; BASATA YAWAFUNGIA VIOO WCB

669
0
Share:

Mara baada ya wasanii wa lebel ya Wasafi Nassib Abdul ‘Diamond’ na Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kuomba radhi serikali na baraza la sanaa la Taifa BASATA siku chache Baada ya Kufungiwa kupitia video ilisambaa katika mtandao ya kijamii, Baraza hilo limekaa kimya na kuashiria kuwa adhabu inaendelea kwa wasanii hao.

Wiki iliyopita Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) walitangaza kuwafungia wasanii Diamond Platnumz na Rayvanny Baada ya kukaidi amri yao na Kuperfom wimbo wa Mwanza uliofungiwa kwenye tamasha lao la Wasafi Festival.

BASATA Walitangaza kulifungia tamasha la Wasafi Festival na pia kuwataka wasanii hao kutoperfom katika nchi nyingine yoyote pamoja na kwamba walishapanga kwenda Kuperfom Nchini Kenya.

(Visited 51 times, 1 visits today)
Share this post