ASSAs

HUYU NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA MKWANJA WA AJABU DUNIANI.

2551
0
Share:

Chama cha Soka Duniani Fifa kimethibitisha kuwa watu Billioni Moja waliangalia Mechi za Finali la Kombe la Dunia Mwaka 2018, ambapo Shirika hilo lilikusanya jumla ya Dola za Kimarekani 5.7 Billioni. Ni Wachezaji watatu wafuatao walioshiriki finali hizo ndio wanao ongoza Duniani kwa kulipwa pesa ndefu sana:

(1). Lionel Messi – aliyeichezea nchi yake ya Argentina, na ambaye anacheza Soka la kulipwa Ulaya anako ichezea timu ya Barcelona anaongoza Duniani kwa malipo ya Dola $ 111 Millioni za Kimarekani.

(2). Christiano Ronaldo – yeye aliyeichezea timu yake ya Taifa ya Portugal, na ambaye anayecheza Soka la kulipwa huko Italy katika timu ya Juventus anafuatia kwa malipo ya $ 108 Millioni za Kimarekani.

(3). Neymar Junior – huyu ni mchezaji wa Brazil aliyeiwakilisha Brazil na anaichezea PSG ya Ufaransa naye hulipwajumla ya $ 90 Millioni za Kimarekani. jumla ya $ 90 Millioni za Kimarekani.

Neymar Junior.

(Visited 382 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us