ASSAs

KAMPENI YA MKOA KWA MKOA ‘RUDI NYUMBANI KUMENOGA’ YAFUNIKA TEMEKE

1470
0
Share:

DSC_0067
Mkuu wa Wilaya Temeke Felix Lyaniva (katikati) akionesha bango kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo usiku huu. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation, Bw. Ally Mbega wakishiriki. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation.
DSC_0050
Meza kuu ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Temeke Felix Lyaniva (wa pili kushoto) wakionesha bango kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo usiku huu. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba.DSC_0084
Mkuu wa Wilaya Temeke Felix Lyaniva (katikati) akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo viwanja vya Zakheim.DSC_0075
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo viwanja vya Zakheim.DSC_0240
Chege Chigunda akifunga kazi kwa mashabiki wake katika fainali za burudani na kampeni Wilaya ya Temeke. DSC_0269
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba (kushoto) akimtuza msanii Chege Chigunda alipokuwa akifunga kazi katika fainali za burudani na kampeni hizo. DSC_0215
Msanii Shilole aka Shishi Baby akitikisha kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga wilayani Temeke.DSC_0008
Umati wa wananchi ukifuatilia burudani katika uzinduzi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga wilaya ya Temeke.DSC_0406
Msanii Man Fongo jukwaani akiwaburudisha wapenzi wa miondoko ya Singeli katika kampeni hizo zilizomalizika kwenye Uwanja wa Zakhein. DSC_0388
Msanii Man Fongo (kushoto) jukwaani akiwaburudisha wapenzi wa miondoko ya Singeli katika kampeni hizo

(Visited 143 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us