ASSAs

MREMBO ANAEVURUGA FACEBOOK

1495
0
Share:

Anajulikana kwa jina la Leila Mrembo anaefanya watu wanaumiza kichwa katika mtandao wa facebook kwa kiuno chake cha ajabu ambacho hakijafanyiwa mazoezi bali ni uumbaji wa Mungu.

Wadada wengi kwa sasa wanavaa vigodolo lengo likiwa ni kuongeza makalio na kuweka mvuto wanapovaa nguo lakini kwa Leila hali ni tofauti kabisa kwasababu yeye Mungu amempa kiuno cha peke yake huku akitikisa kwa kasi zaidi mitandaoni.

(Visited 128 times, 1 visits today)
Share this post