ASSAs

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAN MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA

855
0
Share:
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzeee Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwake Maisara Zanzibar , kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019. (Picha na Ikulu)
RAIS Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo wakati alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumjulia hali leo 8-1-2019, wakitoka baada ya mazungumzo yao.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019.wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo hayo.(Picha na Ikulu)
(Visited 78 times, 1 visits today)
Share this post