ASSAs

Ubalozi wa Ufaransa washusa neema kwa wasomi Tanzania

792
0
Share:

Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania wakishirikiana na Serikali ya Tanzania wamezindua kituo cha Campus France kitakacho kuwa  maalum kwa ajili ya kusaidia  Wanafunzi wanaohitaji kupata elimu katika nchi ya Ufaransa, sanjari na utoaji wa mafunzo kabla ya wanafunzi kwenda Masomoni nchini humo.

(Visited 55 times, 1 visits today)
Share this post