ASSAs

HALIMA MDEE AKALIA KITI CHA MOTO MBELE YA KAMATI KUU YA BUNGE

763
0
Share:

Mbunge wa kawe Halima Mdee Leo januari 22 amefika mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwaajili ya kuhojiwa na kujibu tuhuma zinazomkabili kuhusu kauli aliyitoa hivi karibuni ya kuliita Bunge Dhaifu.

(Visited 59 times, 1 visits today)
Share this post