ASSAs

BREAKING NEWS: KLABU YA SIMBA YATEUA MENEJA MPYA

932
0
Share:

Klabu ya Simba mapema leo imefanya mabadiliko kwa kumteua Ndugu Patrick Reyemamu kushika nafasi ya  Umeneja ambaye ndiye atakaye kuwa akisimamia kazi zote za klabu ya Simba.

Reyemamu amekuwa ni  mwanachama Nguli wa timu hiyo ambaye ameshiriki kazi mbalimbali za timu na hatimaye timu kumuamini na kuona anaweza kushika nafasi hiyo.

Habari zaidi zinakuja endelea kutembelea website yetu kwa habari kamili.

 

(Visited 238 times, 1 visits today)
Share this post