ASSAs

BREAKING NEWS:Mbunge Zainab Mussa Bakari amepata ajali Dumila Morogoro

688
0
Share:
Mbunge Zainab Mussa Bakari amepata ajali eneo la Dumila akiwa anatokea Dodoma leo Februari 10, 2019‬, mpaka sasa Mbunge huyo anaendelea Vizuri.
‪Dereva pamoja na abiria watatu waliokuwemo kwenye gari hilo wamejeruhiwa na kupatiwa matibabu ya dharura mkoani Morogoro‬
‪Wanasafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa, Muhimbili jijini Dar kwa ajili ya matibabu na uchunguzi zaidi .
(Visited 45 times, 1 visits today)
Share this post