ASSAs

HATIMAYE, WAMBURA ATANGAZA KUACHA SOKA

1467
0
Share:

Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Michael Wambura ametangaza rasmi kuachana na masuala ya soka.

Uamuzi huo umetoka rasmi leo katika waraka uliotolewa chini ya wakili wa Wambura, ambapo waraka huo pia umebainisha kuondolewa kwa kesi zote alizozifunguka, pia imeongeza kuwa kwa sasa Wambura hana nia tena yakudai haki yoyote FIFA au Mahakamani.

Imebainisha pia kwa sasa Wambura atabaki kama shabiki wa kawaida wa mpira na si mpiganaji kama apo awali.

(Visited 175 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us