ASSAs

UVCCM MKOA WA PWANI WAFANYA MAFUNZO YA UJASILIAMALI WILAYA YA RUFIJI

789
0
Share:

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Pwani Ndugu Charangwa selemani amewezesha mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana wilaya ya Rufiji lengo likiwa ni kuwajengea uwezo katika kujiajiri.

Mafunzo hayo yalitolewa na taasisi ya TAEDO Na mafunzo yaliyofundishwa kwa vijana hai ni Kilimo, Ufugaji na Uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwanda, ambapo wamebainisha kuwa Mafunzo hayo yatafanyika wilaya zote za mkoa wa Pwani.

Mafunzo hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali akiwepo Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani, katibu wa CCM wilaya ya Rufiji, Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji Mkoa kutoka Wilaya ya Rufiji, Katibu wa UVCCM wilaya yaRufiji, Mwakilishi wa mkuu wa wilaya ya Rufiji nk.

(Visited 42 times, 1 visits today)
Share this post