ASSAs

ZAIDI YA VIJANA 100 WAHITIMU MAFUNZO YA UPAMBAJI TEMEKE

1875
0
Share:

Tar 9.2.2018 imekuwa ni Siku ambayo imeweka alama kwenye mioyo ya vijana kutoka kwenye Kata mbali mbali wilaya ya Temeke walioshiriki mafunzo ya upambaji kwa miezi mitatu baada ya kuhitimishwa Jana ukumbi wa Ikweta Temeke,,,

Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na ofisi ya umoja wa vijana wa Ccm wilaya ya Temeke chini ya idara ya hamasa na chipukizi wilaya ya Temeke.

UVCCM TEMEKE imenuia moja kwa moja kugusa maisha ya vijana kwa kuwawezesha kwa elimu za kiujasiliamali ili kufungua mirija ya fulsa zitakazotumika kiufanisi kupitia Fani hizoo,,

Mafunzo hayo yaliyotolewa bureee na kupatiwa chetii buree
Ili kuwapa wepesi wa kushiriki vijanaaa,,

mgeni rasmi ndgu abdallah Mtinika aligawa vyeti Kwa wahitimu pia alipata nafas ya kutoka neno,,,,,

Nawapongeza vijana wote waliohitimi pia pongez kwa ofisi ya vijana pamoja na wote walioshiriki kufanikisha Darasa hili Hakika imenifanya iwe kama deni kwenda kulisemea kwenye balaza la madiwani wilaya ya Temeke vijana Hawa sasa wapewe kipaombele kwenye fulsa zinazowahusu moja kwa moja,,,,,
Tuwasaidie kusajir na kuwahakikishia upatikanaji wa tenda ktk wigo wetu ili wasijutie kupata mafunzo haya,,,

Ikiwa ni awamu ya kwanza kwa Darasa hilo program hii itakuwa endelevu na Kwa Fani mbali mbali,,

ofisi ya umoja wa vijana wilaya ya Temeke ikiongozwa na m.kiti wake FADHIL FAMONGA Inatoa neno la shukrani kwa wote waliofanikisha Darasa hili,,,,Hakika imetupa nguvu mno,,,

(Visited 188 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us