ASSAsSamaki Samaki

DKT. KIKWETE AMLILIA GODZILLA

116
0
Share:

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya kikwete , amesema kuwa amepokea kwa mshtuko sana taarifa ya kifo cha mwanamuziki Godzilla kwa sababu alikuwa moja ya vijana wadogo  mwenye ndoto kubwa maishani.
Dkt. Kikwete aliongea maneno hayo huku akiambatanisha na picha yake aliyowahi kuipiga akiwa na msanii huyo miaka ya nyuma.

(Visited 26 times, 1 visits today)
Share this post

Leave a reply