ASSAs

RAIS MSTAAFU KIKWETE AFIKA MSIBANI KUMFARIJI PROFESA MUTAHABA

875
0
Share:

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba mzazi wa Ruge Mutahaba aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi wa Clouds Media Group kutoa pole na kuwafariji wafiwa.

Ruge Mutahaba Alifariki dunia Februari 26,2019 majira ya jioni nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu ya figo zilizoanza kumsumbua mwaka jana.

(Visited 71 times, 1 visits today)
Share this post