ASSAs

LOWASSA NYUMBANI KUMENOGA

794
0
Share:
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa amepata nafasi ya kutembelewa na Madiwani kutoka katika mkoa wa Mwanza Halmashauri ya Magu.
Wajumbe hao wamefika ofisini kwa Lowassa Mikocheni jijini Dar es Salaam, ambapo wamepeleka ombi la kuhitaji Lowassa kuweza kufika kuwatembelea katika halmashauri hiyo.
Ikumbukwe kuwa Marchi 1,2019 Lowassa alirejea chama cha Mapinduzi CCM na kupokelea na Viongozi wa chama hicho akiwemo Katibu Mkuu Dkt.Bashiru Ally mara baada ya kukitumikia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ,Madiwani hao wamemuomba Lowassa kufika katika jiji la Mwanza na kuhamasisha hali ya mapoto jijini humo.

 

(Visited 48 times, 1 visits today)
Share this post