ASSAs

HIZI NDOI MECHI SABA(7) ZA MANCHESTER UNITED MWEZI WA NNE.

709
0
Share:

Manchester United inazidi kuwa na ratiba ngumu hapo mwezi wa nne kufuatia draw iliyochezeshwa jana ya klabu bingwa barani Ulaya.

Draw hiyo inafanya Manchester United kuwa na wakati mgumu hasa ukizingatia mbio za kugombea nafasi nne za juu kwenye ligi zimepamba moto.

Manchester United ambao wapo nafasi ya tano na ponti zao 58, huku Chelsea wakiwa na ponti 57 na mchezo mmoja mkononi, Arsenal wao wakiwa nafasi ya nne na ponti 60 na Tottenham wakiwa nafasi ya tatu na ponti 61.

Hii ni ratiba ya Manchester United mwezi wa nne(4)

1.Wolves( Ugenini, ligi)
2. Barca (Nyumbani, UEFA)
3. West ham( Nyumbani, Ligi)
4. Barca (Ugenini, UEFA)
5. Everton(Ugenini, Ligi)
6. Man City(Nyumbani, Ligi)
7. Chelsea (Nyumbani, Ligi)

(Visited 62 times, 1 visits today)
Share this post