ASSAs

Dstv KURUSHA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA NDONDI KATI YA BONDIA WA TANZANIA NA UGANDA

553
0
Share:

MultiChoice Tanzania wanazidi kuvuka mipaka zaidi kupitia kinga’amuzi chake cha Dstv Siku ya Jumamosi Machi 24,2019 wanatarajia kuonyesha ngumi za ulingoni(ndondi) kati ya mkali wa masumbwi kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo na Eduardi Gonzales.

Pambano hilo litarushwa moja kwa moja kupitia chaneli yake ya Supersport8 kwa kulipia kifurushi cha Family shilingi 39,000.

“Piga ua garagaza ushindi ni lazima!
Patakuwa hapatoshi Jumamosi hii pale ambapo mkali wa masumbwi kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo atakapochuana na Eduardo Gonzales ndani ya Nairobi Fight…. kunogesha Mambo sasa DStv watarusha mpambano huu
Utaruka live kupitia Supersport8 Jumamosi kuanzia Saa 2 usiku kwa kifurushi Family 39,000 tu!” imeeleza taarifa hiyo.

(Visited 33 times, 1 visits today)
Share this post