ASSAs

HORMONIZE AGAWA VITAMBULISHO 200 VYA WAMACHINGA KALIAKOO

2701
0
Share:

Msanii wa kizazi kipya kutoka rebo ta WCB Rajab Abdul Kahali almaarufu kama  Harmonize mapema leo Machi 22,2019 amegawa vitambulisho 200 maarufu kama vitambulisho vya JPM kwa wafanyabiashara wadogowadogo katika solo la kariakoo jijini Dar es Salaam  pia amefanya video ya wimbo wake mpya katika eneo hilo.

Kwa habari zaidi endelea kutembelea tovuti yetu tutakuletea habari zaidi.

(Visited 371 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us