ASSAs

Dstv WANAKULETEA MATANGAZO YA MECHI KATI YA CZCH REP NA BRAZIL

970
0
Share:

Kampuni ya Multi Choice Tanzania kupitia king’amuzi chake cha Dstv wanakuletea matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya timu ya Czech Rep wakiikaribisha Brazil.

Mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa leo saa 4:45 usiku kupitia Channel ya Super sports kwa kifushi cha Bomba kwa kulipia kiasi cha shilingi elfu 19,000.

“Jumanne hii Supersport inakuletea bonge la Mechi ya kimataifa ya kirafiki , Czech Rep wakiikaribisha Brazil, live saa 4:45 usiku kwenye @dstvtanzania kifurushi Bomba 19,000 tu, Je Brazil wataonyesha Ubabe kwenye hii mechi ?”

(Visited 72 times, 1 visits today)
Share this post