ASSAs

Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa Akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC

2015
0
Share:
Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa (kulia), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipomtembelea ofisini kwake akiwa pamoja na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe (kushoto), Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa (kulia), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi pamoja na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam jana.
(Visited 221 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us