ASSAs

SSRA Yawapiga Msasa Wabunge Kuhusu Dhana ya Hifadhi ya jamii

1652
0
Share:
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati wa Semina kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Onorius Njole Akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii, ambapo alisema alisema moja ya mafanikio ya mamlaka hiyo imewezesha kuhuisha uwekezaji wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa kutoa Miongozo ya Uwekezaji katika semina iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) akiongea wakati wa Semina kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia Semina kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.
(Visited 201 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us