ASSAs

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA

1539
0
Share:

V25A7783

V25A7790
Spika wa Bunge, Job Ndugai (Katikati) aongoza Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
V25A7758
 Mbunge wa kaliua na Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge, Magdalena Sakaya akizungumza kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
V25A7771
 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
V25A7745 Wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge wakiwa kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
(Visited 160 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us