ASSAs

DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA UPENDO ZAIDI JUU YA WIMBO MPYA ALIOUTOA BABA YAKE MZAZI

2778
0
Share:

Baba mzazi wa Diamond platnumz ametoa wimbo mpya ambao unafahamika kwa jina la ‘Dudu la yoyo’ ambapo  baada ya kuiachia nyimb hiyo amepata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwa mashabiki na mwanae Diamond Plutnumz

Kupitia insta story ya Dimond, ameamua kuonyesha upendo wa dhati kutoka kwa baba yake na kupost video hiyo ambapo watu wengi amefurhishwa kwa kitendo hicho alichokifanya Diamond kwa baba yake. kwenye video hiyo aliyoipost ameandika maneno haya ‘BIG LION Kill Dem Sha!!’

Mbali na halo wadau mbalimbali wamempongeza kwa kitu alichokifanya huku video iyo ikiendelea kupanda chati katika account ya You tube.

(Visited 1,010 times, 2 visits today)
Share this post