ASSAs

PETER MOLLEL(PIERRE) AFIKA BUNGENI AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA

1480
0
Share:

Peter Mollel  almaarufu kama  Pierre  Liquid jana amefika Bungeni na kukutana na spika wa Bunge Job Ndugai, Naibu Spika Det. Tulia Akson  na Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyokuwa akiongea na Pierre nje ya ukumbi wa Bunge alisema kuwa anaamini haitakosekana nafasi hata moja ya yeye kuisindikiza Taifa Stars kwenye michuano nchini Misri.

 

 Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid akisalimiana na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katikati ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.

Petter Mollel akisalimiana na Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson (kulia)

Peter Mollel akionyesha baadhi ya mambo anayopenda kuyafanya huku akimtaja Spika wa Bunge na Rais John Pombe Magufuli kuwa wapo juu.
(Visited 119 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us