ASSAs

Dstv WAJIANDAA KURUSHA LIVE MECHI YA SIMBA VS TP MAZEMBE

2588
0
Share:

Kampuni ya Multi choice Tanzania  kupitia king’amuzi cake cha Dstv imesema imejipanga vyakutosha kuhakikisha wanarusha matangazo ya moja kwa moja ya mpira siku ya April 6, siku ya jumamosi Katina mechs ya mpira kati ya Simba na timu ya Tp Mazembe.

Taarifa iliyotolewa na uongozi w Dstv imeeleza kuwa kwa kifurushi namba cha Bomba cha shilingi elf 19,ooo itamuwezesha mtazamaji kuweza kushuhudia mtanange huo mzito.

“Mashabiki wa Simba wanasema iwe mvua iwe jua ushindi ni lazima,je wewe mtazamo wako Ni upi? Usikose mechi hii kupitia @dstvtanzanja kwa kifurushi Bomba 19,000 tu. Kujiunga piga 0659070707 #MotoHauzimi #DStvTanzania” imeeleza tariff hiyo.

(Visited 371 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us