ASSAs

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA

775
0
Share:
V25A09838

V25A09903

 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
V25A9881
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL),  Emilia Monjowa Lifaka (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Maria Kangoye
V25A9896
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa taarifa za shughuli Mbali mbali zilizofanywa kwa mwaka 2018 na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
V25A9923
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimpatia zawadi ya Shuka la Kimasai Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
V25A9952
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Maria Kangoye, baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)
(Visited 62 times, 1 visits today)
Share this post