ASSAs

‘BABA ANGU ANA VIONJO VYA MUZIKI’ QUEEN DARLEEN

1240
0
Share:

Msanii wa Muziki wa Bongo Flavor kutoka lebo ya WCB, Queen Darleen ametoa mtazamo wake baada ya wimbo alioshirikishwa baba yake Mzee Abdul kusambaa mitandaoni.

Darleen amesema kuwa Baba yake ana vionjo vizuri ya muziki na anamuombea afanye vizuri zaidi kama ana ndoto hizo.

“Baba angu ana vionjo vya muziki, ,Mungu amjaalie aendelee hivyo hivyo kama na ndoto hizo afanye vizuri zaidi na zaidi lakini katika support anayoisema hajawahi kusema kama anataka kufanya muziki sisi hajawahi kutuambia na kama angesema why asisaidiwe,” alisema Queen akiongea na Wasafi.

(Visited 94 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us