ASSAs

WAZIRI KIGWANGALLA ATOA USHAURI MZITO KWA VIJANA WANASIASA

1015
0
Share:

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla ametoa ushauri kwa vijana waliopata fursa ya kupewa nafasi za uongozi katika Serikali au Vijana walioweza kupata Fedha.

Dkt.Kigwangalla ametoa ushauri huo kupitia Katina ukurasa wake wa Twitter, amesema kapo vijana wengi ambao wakipata fedha basi hubadilisha tabia na mwenendo mzima wa Maisha yao.

“Kuna vijana wakipewa madaraka ama wakitajirika basi hubadilisha tembea/sema yao, dharau inatamalaki na hata husahau walikotoka. Katika maisha yangu mafupi kwenye siasa za kitaifa nimewashuhudia wengine hata wakijiona wakubwa kuliko wakubwa zao. Nawasihi wajifunze kwa Luqman!” ameandika Dkt.Kigwanhalla.

(Visited 72 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us