ASSAs

‘MIMI NITABAKI KUWA DADA KWA DIANA’ WEMA SEPETU

2255
0
Share:

Miss Tanzania 2006 na Muigizaji kutoka katika kiwanda cha Bongo Movie Wema Abraham Sepetu hatimaye amefunja ukimya na kufunguka juu ya skendo inayomkabili baize yake na msanii mwenzie Diana Kimario.

Wema ameeleza kuwa atabaki kuwa dada wa Diana na hakuna kitu kingine baina yao, amesema atasimama kama dada kama ambavyo anafanya kwa wadogo zake Wengine wakiwa ndani ya tasnia na nje ya tasnia na mpaka sasa ameshapunguza marafiki wasiofaa.

“Mimi nitabaki kuwa dada kwa Diana kama nilivyo kwa Allu au Lulu, wote wale wadogo zangu hakuna kingine”, amesema Wema.

Pia amezungumzia uhusiano wake na mama yake amesema wake sawa na mama yake na Hakuna tatizo, ambapo amesema kama Kizazi kukasirika ni jambo la Lawanda kama anachukizwa na mwanae.

Yote haya yanajiri baada ya mama mzazi wa mwanadada huyo kumzuia urafiki na muigizaji mwenzake Diana Kimaro kwakile alichodai kuwa urafiki wao hauna faida.

(Visited 293 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us