ASSAs

MWILI WA RAPPER NIPSEY WAAGWA KWA KISHINDO

443
0
Share:

Usiku wa kuamkia leo ndio ilikuwa siku maalumu ya kumuaga rapper Nipsey ambaye alipigwa risasi nje ya duka lake March 31, 2019.

katika siku hiyo ya kumuaga Nipsey mastaa wengi sana wamejitokeza na kuhudhulia hafla ya kuaga mwili wa Rapper huyo katika ukumbi wa Stemple Centre Los Angels California nchini Marekani ambako ndipo mwili wa aliyekuwa mfalme wa miondoko ya Pop  Michael Jackson.

Wengi wakimjua kama Nipsey Hussle lakini jina lake la kuzaliwa likiwa ni Ermias Joseph Asghedom aliyezaliwa miaka 33 iliyopita August 15, 1985 kusini mwa Los Angeles nchini Marekani na kupoteza maisha yake March 31, 2019 (age 33) Los Angeles, California, U.S.A ikiwa ni nje ya duka lake la nguo. ambalo linaitwa ‘The Marathon Clothing”

(Visited 25 times, 1 visits today)
Share this post