ASSAs

HATIMAYE ROSE MUHANDO AMEPONA, AAGWA HOSPITALI KENYA

1823
0
Share:

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando aliyekuwa amelazwa katika hospitali iliyopo nchini Kenya, sasa  hali yake kiafya iko vizuri na ameagwa katika hospitali aliyokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Solomon ame-post picha akiwa na Rose na waimbaji wengine na kuandika: “Mungu mukubwa Rose muhando amekua vizuri. Malkia Rose yuko poa sasa.”

video ambayo imechapishwa  na Solomon Mkubwa, anaonekana akiimba na kumshukuru Mungu kwa kumponya.

Rose Muhando  aliibua hisia kali miongoni mwa mashabiki wake nchini Kenya na Tanzania miezi minne iliyopita alipoonekana jijini Nairobi akiwa na majeraha makubwa na akiombewa na mhubiri wa Neno Evangelism jijini Nairobi, James Nganga akidaiwa Kuwa ana mapepo.

(Visited 747 times, 1 visits today)
Share this post