ASSAs

Mtuhumiwa wa mauaji ya Nipsey adai kulipwa pesa kufanya tukio hilo

987
0
Share:

Inaelezwa kuwa baadhi ya mitandao na watu kadhaa nchini Marekani wametoa taarifa kuwa mtuhumiwa wa kwanza wa mauaji ya Nipsey HussleEric Holder’29 amekiri kuwa alilipwa pesa na idara ya polisi mjini Los Angeles ili kumuua Nipsey Hussle.Imeripotiwa kuwa polisi walimlipa mtuhumiwa Eric Holder kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 170 za Kitanzania ili kufanya mauaji hayo, lakini kwa mujibu wa timu ya wanasheria wake hawajathibitisha hilo. Eric Holder alikamatwa April 3,2019 na kufikishwa mahakamani.

Mauaji ya Rapper Nipsey Hussle yaliyotokea Jumapili ya  March 31,2019 nje ya duka lake la ‘The Marathon Clothing’ mjini Los Angeles na kupumzishwa April 12,2019 katika makaburi ya Forest Lawn Memorial Park yaliyopo Hollywood Hills

(Visited 137 times, 1 visits today)
Share this post