ASSAs

MWANAMKE ALIYEMFUNGULIA SHTAKA LA UBAKAJI CHRIS BROWN ARUHUSIWA KUKAGUA NYUMBA

304
0
Share:

 Mwimbaji Chris Brown amemruhusu mwanamke anayefahamika kwa jina la Jane Doe kufanya ukaguzi kwenye nyumba yake mjini Los Angeles baada ya mwanamke huyo kumfungulia shtaka la ubakaji miezi kadhaa iliyopita  ambapo Jane atasindikizwa na wakili wawili pamoja na mpiga picha katika uchunguzi huo.

Inaelezwa Breezy ana haki ya kupinga chochote ikiwemo na kupewa nafasi ya kurekodi kila tukio litakaloendelea na pia kuondoa vitu ambavyo ni vya msingi ndani ya vyumba hivyo na inabidi apange tarehe za kuwaruhusu kufanya ukaguzi huo huku mahakama ikiwa imetoa siku 120 ili ukaguzi huo uwe umekamilika.

(Visited 30 times, 1 visits today)
Share this post