ASSAs

TAMTHILIYA YA MADHUBALA YAPAMBA MOTO BAADA YA BARAJI KUONA TANGAZO LA MTOTO KWENYE GAAZETI AAMUA KUCHUKUA MAAMUZI

311
0
Share:

Wiki hii kwenye Madhubala
Baada ya Baraj kuona tangazo la mtoto kwenye gazeti anahudhuria mahafali ya kumkaribisha Madhubala nyumbani kwa Roma wanaleta vurugu inapelekea Padmini kufukuzwa hapo uswahilili na wananchi wakihofia maisha yao, akiwa njiani na binti zake wanagongwa na gari Padmin anafariki hapo hapo, je ni nini Malik atamfanya Baraj?

Usikose Tamthilia yetu pendwa ya Kihindi kwa lugha ya Kiswahili Madhubala, Jumatano Na Alhamis saa 12 jioni kwenye @dstvtanzania @MaishaMagicBongo kifurushi Bomba sh.19,000 tu!
#DStvInogilee
#DStvTanzania

(Visited 38 times, 1 visits today)
Share this post