ASSAs

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE WA WAKURUGENZI

658
0
Share:

Rais Dkt John Magufuli  jana April 23, 2019 alimteua Prof Tadeo Andrew Satta Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala Wa Meli Tanzania (TASAC). Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Emmanuel Stephen Ndomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAC.

(Visited 113 times, 1 visits today)
Share this post