ASSAs

RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAKWEA PIPA HADI MALAWI

592
0
Share:

Rais Dkt. John Magufuli leo tarehe 24 April, 2019 ameondoka nchini Tanzania  kwenda Malawi kwa  mualiko wa Rais wa jamhuri ya Malawi  Mhe.Prof. Arthur Peter kwaajili ya  Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbilli. Baada ya kurejea nchini Tanzania  ataanza ziara ya kikazi ya siku nane Mkoani Mbeya.

(Visited 82 times, 1 visits today)
Share this post