ASSAs

HIVI NDIVYO WALIVYOFANYA BODI YA KUSIMAMIA MICHEZO KWENYE MICHEZO YA KUBASHIRI

514
0
Share:

Bodi ya kusimamia michezo ya kubashiri nchini nchini Kenya imepiga marufuku matangazo ya kuhamasisha michezo hiyo kuonekana kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.

Aidha, matangazo hayo yamezuiwa kutangazwa mitaani, kwenye runinga na mitandao ya kijamii kwa wakati huo

Hata hivyo Watu mashuhuri wamezuiwa kutumika kuhamasisha michezo hiyo.

(Visited 22 times, 1 visits today)
Share this post