ASSAs

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA KIWANDA CHA SARUJI CHA MBEYA MKOANI SONGWE

823
0
Share:
1
2
03
4
5
06

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

08
9

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.

10
11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe. PICHA NA IKULU

(Visited 52 times, 1 visits today)
Share this post