ASSAs

DStv YAJA KIVINGINE, YAKUPA BURUDANI HASA ZA KINYUMBANI

387
0
Share:

DStv inazidi kukupa burudani hasa za kinyumbani zaidi kupitia chaneli yake pendwa ya Maisha Magic Bongo
iliyosheheni Tamthilia kazi zilizoigizwa na Mastaa wakubwa kutoka kwenye soko la Bongo Muvi na Bongo Flava, Tamthialia kama
HUBA, REBECA, MADHUBALA, MICHIKICHO YA PWANI, 10 KALI ZA WIKI, MAISHA YANGU, KITIMTIMU na nyingine kibao zinapatikana kwenye
@MaishaMagicBongo kupitia @DStvTanzania sh.19,000 tu kwa mwezi! #DStvTanzania

(Visited 71 times, 1 visits today)
Share this post