ASSAs

RAPPER MEEK MILL AIOMBA MAHAKAMA KUMTOA KWENYE SHITAKA LA MAUWAJI

245
0
Share:

Rapper Meek Mill ameiomba Mahakama kumtoa kwenye shitaka la mauaji ambalo familia moja ya  Graves ilimuingiza baada ya vijana wao Jaquan Graves na Travis Ward kupoteza maisha kwenye tamasha lake mjini Connecticut mwaka 2016.

Kwa mujibu wa mtandao wa ‘The Blast’ umeripoti kuwa nyaraka kutokea Mahakama zimeorodhesha kuwa Meek Mill amedai hana hatia na shambulio lililofanyika na kusababisha vifo vya vijana hao huku upelelezi uliofanywa na Polisi ulidai kuwa  vijana hao walihusika kwenye shambulio hilo kama washambuliaji.

(Visited 14 times, 1 visits today)
Share this post