ASSAs

KINYUMBANI ZAIDI Ndani ya DStv

757
0
Share:

DStv inazidi kukupa burudani hasa za kinyumbani zaidi kupitia chaneli yake pendwa ya Maisha Magic Bongo iliyosheheni Tamthilia kazi zilizoigizwa na Mastaa wakubwa kutoka kwenye soko la Bongo Muvi na Bongo Flava, vipindi vya Komedi, Filamu kali bila kusahau wazee wa Shilawadu na vipindi vya Muziki wa Bongo Flava vinavyoruka kila siku.

Yaani tunakwambia ni wiki nzima ya Bandika Bandua na vipindi vikali vya kinyumbani, ratiba ipo hivi:

  • Jumatatu hadi Ijumaa – Kutana na Tamthilia ya HUBA ambayo sasa mwanamuziki Nandy anakiwasha vilivyo humo ndani saa 3 usiku
  • Jumatatu hadi Jumatano– Tamthlia ya Rebeca ambayo sasa mrembo Lulu Diva ameingia na kuleta balaa!
  • Jumatano na Alhamis saa 12 jioni ni muda wa Madhubala– Tamthilia ya Kihindi iliyotafsiriwa kwa Lugha ya Kiswahili
  • Jumatano saa 1.30 ni muda wa Michikicho wa Pwani na Mama Miriam wa Migomba anayekuletea mambo ya Pwani na Michapo ya kimwambao.
  • Ijumaa tunanza ku-hesabu 10 kali za wiki kwenye tasnia ya Bongo Flava saa 10 jioni kisha Shilawadu saa 3 usiku.
  • Jumapili ni muda wa Maisha Yangu, kipindi kinachoonyesha safari ya Mastaa wa kubwa hapa nchi, walipotokea na wamewezaje kufika pale walipo sasa ambapo wiki hii tutakuwa na mwanadada Dina Marios saa 1 usiku, kasha tunahamisa kwenye Komedi na Kitimtimu saa 3:30 usiku.

Yote haya ni kwenye DStv pekee kupitia Maisha Magic Bongo kwa sh.19, 000 tu!Kama hujajiunga gharama ni sh.99, 000 tu, unapewa vifaa pamoja na kifurushi Compact buree, piga namba 0659070707, DStv Inogilee!

(Visited 75 times, 1 visits today)
Share this post