ASSAs

MULT CHOICE TALENT FACTORY WAJA KIVINGINE WATOA MCHONGO MKUBWA

620
0
Share:

MultiChoice wanakupa Mchongo wa kupata mafunzo ya Uandaaji wa filamu bure, vijana wanne kutoka Tanzania kupata fursa ya kwenda Nairobi kwenye Akademy maalum.
Bonyeza bio ya @dstvtanzania kujisajili, unaweza kuwa mshindi, Umri kuanzia 18-3. Piga namba 0756 753201 kwa maelekezo zaidi, mwisho wa kutuma maombi ni 14 Juni-19

#MultChoiceTalentFactory

(Visited 51 times, 1 visits today)
Share this post