ASSAs

SUGU AMVAA KIGWANGALA

483
0
Share:

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amemtaka Waziri wa Maliasili na utalii kwenye kujifunza  vivutio vilivyopo nje ya Tanzania.

Mbilinyi ameyasema hayo leo, Bungeni jijini Dodoma amemtaka Waziri huyo aende Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini.

“Nenda Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini kaka utoke uende Ulaya ukajue watalii wanataka nini na sio ile chanel ya TBC badala ya kuonesha watalii wanaonesha miradi iliyofanywa na Tanapa,” amesema Sugu.

(Visited 30 times, 1 visits today)
Share this post