ASSAs

RAIS PETER MUTHARIKA ATHIBITISHIWA KUNYAKUA USHINDI MUHULA WA PILI MALAWI

606
0
Share:

Rais wa Malawi Peter Mutharika amethibitishwa na tume ya uchaguzi kunyakua muhula wa pili madarakani baada ya kupata ushindi mwembamba wa asilimia 38.7 ya kura.

Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Malawi Congress Party Lazarus Chakwera, ameibuka nafasi ya pili na asilimia 35.41 ya kura wakati makamu wa rais Saulos Chilima akipata asilimia 20.24.

Baadae Jumatatu mahakama iliondoa amri hiyo na tume ya uchaguzi kuthibitisha ushindi mwembamba wa Mutharika.

Uchaguzi wa rais na wa bunge ulifanyika Jumanne iliyopita, ambapo matokeo yalitarajiwa kutolewa mwishoni mwa Juma.

(Visited 28 times, 1 visits today)
Share this post