ASSAsSamaki Samaki

BREAKING: NYONI ASANI MIAKA MIWILI KUENDELEA SIMBA

47
0
Share:

Mchezaji kiraka wa kimataifa na klabu ya Simba, Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu ya Simba.

Nyoni ameungana na Bocco na Aishi, walisaini kabla ya kuelekea Cairo kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (Afcon).

(Visited 10 times, 1 visits today)
Share this post