ASSAs

ALICHOKIANDIKA LULU CHAZUA GUMZO JUU YA UHUSIANO WAKE NA MAJIZO

532
0
Share:

Wakati watu wakisubiri kwa hamu harusi ya super staa kutoka katika kiwanda cha bongo movie , Elizabeth Michael , maarufu kama Lulu, Mwanadada huyo june 11, 2019 amepost video kwenye insta story yake ikiambatana na caption a ambapo amesema yup single.

Lulu amepost video hiyo na kuandika maneno ambayo yameendelea kuzua gumzo mtandaoni, maneno yenyewe nayasomekana hivi

“ Umekaa zako umetulia tuliii….Huna stress upo single , unakula bata, halafu kaka mmoja BOOM anakufanya u fall in love , bro hupendi maendeleo ya kina dada au ?” Aliandika hivyo lulu michael bila kufafanua zaidi kama huenda hiyo caption inamhusu yeye au ilikua ni Kiki tu.

Watu wengi wametafsiri maneno hayo na kuhisi kuwa ameachana na mpenzi wake Majizo na huenda suala la ndoa halipo tena

(Visited 107 times, 1 visits today)
Share this post