ASSAs

MWANAFUNZI SEKONDARI AFANYA MTIHANI WA TAIFA AKIWA LEBA

335
0
Share:

Pichani Almaz Derese(21) raia wa Ethiopia nusu saa baada ya kujifungua alikaa chumba cha hospital kufanya mitihani yake ya secondary. Alipanga kujifungua kabla lakini mitihani ilisogezwa mbele sababu ya mwezi wa Ramadhani

Akihojiwa na media amesema mimba kwake haikuwa kikwazo cha kusoma wala kujifungua haikuwa shida kuendelea na mitihani kwani alitaka ahitimu secondary mwaka huu kisha aingie chuo kikuu baadaye. Mumewe ndie aliomba uongozi afanye mitihani yake muda mfupi baada ya kujifungua salama .
.
Nchini Ethiopia ni kawaida Kwa wasichana kuacha Shule kisha muda wowote wakitaka wanarudi kuendelea na masomo kutimiza ndoto zao.

(Visited 41 times, 1 visits today)
Share this post